Kimising

Kimising (au Kimishing) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamising. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimising imehesabiwa kuwa watu 551,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimising iko katika kundi la Kitani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy